Copyright by Tanzania Kids (2015). Powered by Blogger.

Thursday, 30 April 2015

UMUHIMU WA KUNAWA MIKONO




Watoto wanatakiwa  wakiwaambia kunawa mikono yao kwa sabuni kabla ya kula, baada ya kutumia maliwato na bafu, au wakati wa kutoka kucheza. Huu ni ujumbe wa thamani kwa afya za watoto wetu.

Wakati watoto wakicheza na wenzao  kwa kutojua wanaweza kuambukizwa au kuambukizana magonjwa kwa kugusana.Kitendo kidogo cha kunawa mikono kwa sabuni kinaondoa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya tumbo,kipindupindu na maambukuzi ya magonjwa mengine.

Kuosha Mikono Kwa Usahihi

Hii itasaidia kuua vijidudu mbali mbali vienezao magonjwa. Ni vizuri kuwafundisha watoto wako utaratibu huu wewe ukiwa mfano -nawa mikono yako pamoja mara nyingi pia waonyeshe na kuwaelekeza watoto jinsi  na

Ili kupunguza hatari ya kupata vijidudu vya magonjwa kwa watoto, cha kufanya ni kuhakikisha  kuwa mikono ya watoto inakuwa safi mara kwa mara kwa kunawa hasa:

• Kabla ya kula

. Baada ya kula 

• Baada ya kutumia maliwato

•Baada ya kutoka kucheza

• Baada ya kutoka shuleni

 

Tanzania-Kids

Posted by Unknown at 21:27
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Labels: AFYA

2 comments:

  1. Anonymous2 May 2015 at 05:23

    Ni vyema kuwafundisha watoto wetu usafi.Nashukuru kwa elimu...

    ReplyDelete
    Replies
      Reply
  2. Henry Kazula2 May 2015 at 06:57

    Ni muhimu sana kwa afya bora

    ReplyDelete
    Replies
      Reply
Add comment
Load more...

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

We have moved.

The Tanzania Kids Blog is no longer available. Instead, please visit our new website www.tzkidsmagazine.com for recent updates.

Powered by Blogger. designed by mythem.es. converted to Blogger by New Blogger Themes.