Copyright by Tanzania Kids (2015). Powered by Blogger.
Thursday, 30 April 2015
UMUHIMU WA KUNAWA MIKONO
Watoto
wanatakiwa wakiwaambia
kunawa mikono yao kwa sabuni kabla ya kula, baada ya kutumia maliwato na bafu,
au wakati wa kutoka kucheza. Huu ni ujumbe wa thamani kwa afya za watoto wetu.
Wakati
watoto wakicheza na wenzao kwa kutojua wanaweza kuambukizwa
au kuambukizana magonjwa kwa kugusana.Kitendo kidogo cha kunawa mikono kwa sabuni kinaondoa hatari ya kuambukizwa magonjwa ya tumbo,kipindupindu na maambukuzi ya magonjwa mengine.
Kuosha Mikono Kwa Usahihi
Hii itasaidia kuua vijidudu mbali mbali vienezao magonjwa.
Ni vizuri kuwafundisha watoto wako utaratibu huu wewe ukiwa mfano -nawa mikono
yako pamoja mara nyingi pia waonyeshe na kuwaelekeza watoto jinsi na
Ili
kupunguza hatari ya kupata vijidudu vya magonjwa kwa watoto, cha kufanya
ni kuhakikisha kuwa mikono ya watoto inakuwa safi mara
kwa mara kwa kunawa hasa:
Ni vyema kuwafundisha watoto wetu usafi.Nashukuru kwa elimu...
ReplyDeleteNi muhimu sana kwa afya bora
ReplyDelete